Property Description
Nyumba inauzwa Chanika kwa Masantula iko na vyumba vitatu kimoja master, seble na jiko la nje uwanja mkubwa imezungukiwa na fensi bei yake Million 50 maongezi yapo haina kipengele chochote Tajiri full Documents ghalama ya kwenda site 200k
Property Id: 521
Price: Tsh. 50,000,000
Property Size: 0 m2
Property Lot Size: 0 m2
Rooms: 3
Bedrooms: 3
Bathrooms: 2