Property Description
Nyumba inapatikana Manzese Tip Top dakika 5 kutoka barabara ya morogoro road kwa kutembea inaukubwa kuna nyumba na space kubwa sqm 500 eneo limepimwa na full Documents halina shida yoyote ni eneo zuri kwa biashara na makazi bei ya kuuza million 100 ghalama ya kwenda kuona eneo laki mbili 200k
Property Id: 519
Price: Tsh. 100,000,000
Property Size: 500 m2
Property Lot Size: 0 m2
Rooms: 0
Bedrooms: 0
Bathrooms: 0