Property Description
MRADI WETU WA KIGAMBONI CHEKA 📍
Umbali wa mita 60 tu kutoka barabara kuu!
Kiwanja cha kwanza kinaanza mara tu baada ya ule ukuta wenye nyumba nzuri upande wa kushoto. Jiwe la kuonesha mipaka lipo chini, mwisho wa ukuta huo.
📍 Umbali: 60m tu kutoka barabara kuu!
📏 Ukubwa wa Viwanja: 587 SQM – 832 SQM (Unaweza kuunganisha viwanja viwili au zaidi kwa nafasi kubwa!)
💰 Bei kwa SQM:
➡️ Cash: TSh 37,000
➡️ Installment: TSh 40,000
💰 Bei ya Cash: Kuanzia TSh 21,349,000
Installment pia zipo kwa miezi mitatu tu!
Property Id: 478
Price: Tsh. 37,000
Property Size: 0 m2
Property Lot Size: 0 m2
Rooms: 0
Bedrooms: 0
Bathrooms: 0