Available Units
Property Description
Description
BIG FARM LAND FOR SALE
Mashamba makubwa na yana hati (Title deed)
Mashamba ya kilimo cha kumwagilia
_________________________
-Shamba kubwa Linauzwa
-Locton:Iringa
-Ukubwa Acre 1,300
-Shamba Lina Title
-Umbali kilomita 45 toka Iringa mjini:
Sifa za shamba
1:Limeendelezwa
2:Kuna ng’ombe zaidi ya 150
3:Shamba linazingukwa na miti mikubwa karibu acre 50 ya kuvuna
4:Nyumba za wafanyakazi
5:Umeme wa kawaida na Jenereta kubwa la kufua umeme
6:Kuna magari ya kutembelea pick up na Trecta moja
7:Shamba limezungukwa na mito ya maji& tambalale:
*BEI SHILINGI BILION 2*
_________________________
Shamba kubwa Linauzwa
Locton:Mkoa wa Arusha
Ukubwa Acre 25,000/=
Shamba Lina Title deed zaidi ya 5 zimegawanyika kwa Ukubwa Tofauti
*BEI SHILINGI LAKI 8 KWA ACRE MOJA*
_________________________
-Shamba Linauzwa pangani-Tanga
Ukubwa Acre 10,000/=
Acre 1 shilingi 500,000/=
Shamba linauzwa kuanzia Acre 1,000/=
Shamba lina Title deed
_________________________
1:Shamba kubwa la kumwagilia linauzwa
Mkoa-Tanga
Location-Pangani
Ukubwa Acre 4900
Shamba lina Docoment zote
Limepimwa na Title deed
Shamba linafaa kulima mkonge nafaka zote na kilimo cha kumwagilia
Bei laki 6 kwa Acre
_________________________
2:Shamba Linauzwa
Locton:Pangani Tanga
Shamba:Ukubwa Acre 7200
Shamba Lina maji
Shamba Lina Title deed 3
Acre moja million 1:5
_________________________
3:Shamba kubwa la uwekezaji
Mkoa-Tanga
Wilaya -Pangani
Ukubwa -Acre 50,000
Shamba lakuwekeza shamba linagawanywa kwa watu hata 5
Bei shilingi milion 1 kwa acre
Huduma zote zipo maji umeme barabara safi mpaka shamba
_________________________
4:Acre 1500 zinauzwa
Mkoa wa Iringa
Wilaya ya kilolo
Umbali Kutoka Ilula kilomita 40
Bei SHILINGI Laki 5 kwa acre
Sifa shamba limegawanyika kwa acre 400×3 na 300 peke yake
Unaweza kupata acre 400 pekee
Kilimo shamba linafaa kilimo cha palachichi viazi mahindi nyanya na kilimo chochote cha kumwagilia.
_________________________
5:Shamba kubwa linauzwa:
Loction Mkoa-Iringa
Wilaya ya mufindi
Ukubwa acre 692
Bei milion 700
Shamba lina Title deed
_________________________
6:Shamba linauzwa
Loction mkoa wa Morogoro
Wilaya ya kilosa
Ukubwa Acre 7710
Shamba Lina Title deed
Acre moja inauzwa
Shamba linafaa kilimo chakumwagilia
Laki 8 kwa acre
_________________________
Shamba Linauzwa :
Locton .Njombe
Ukubwa Acre 250,000/=
Zenye Title deed acre 25800
Shamba Lina mito 3 mikubwa:
Acre moja shilingi 500,000/=
_________________________
8:Shamba linauzwa
Location mihono pwani
Ukubwa Acre 2000
Shamba linafaa kilimo cha mkonge nafaka kufuga na kilimo chakumwagilia
Bei :Milion 300
Umbali: kilomita 6
________________________
9:Shamba kubwa linauzwa
Location mtwara
Shamba limeendelezwa
Shamba lina Minara ya simu 2 Inalipiwa zaidi ya milion 10 kwa mwezi
Shamba limeanza beach acre 200
Shamba limendelezwa
Ukubwa Acre 1300
Bei Bilion 1:5
_________________________
10:Shamba bora kabisa linauzwa :
-Loction Tanga pangani
-Ukubwa Acre 3000
-Shamba lina Title deed
Sifa.
-Shamba limezungukwa na mito mikubwa mto pangani
Shamba lina Title deed:
Bei Bilion 2
_________________________
11:Acre 3500 for sale
Loction pangan -Tanga
Sifa.
Acre 2600 zina mkonge
Kwa mwenzi anazalisha milion 200
-kuna Trecta 5
-Kuna Dozer 2
-kuna Dozer za zamani 2
-Nyumba 10 za wafanyakazi
-Nyumba ya ghorofa 3
-Godown 1
-Banda kubwa la kusaga mkonge
-Maji mto mkubwa
-Bei bilion 6:
_________________________
12:Shamba Linauzwa
Locton Iringa
Wilaya ya kilolo Ilula
Umbali kilomita 40
Ukubwa:Acre 1500
Shamba Lina maji ya kumwagilia
Bei acre moja laki 6:
Shamba linafaa kilimo cha palachichi viazi & kilimo cha kumwagilia
_________________________
13:Shamba kubwa la kumwagilia lina mto mkubwa linauzwa
Loction Morogoro-Dumila
Kilomita 16 toka Morogoro
Ukubwa Acre 1450
Bei bilion 1:5
_________________________
14:Shamba linauzwa
Wilaya ya kilosa
Njia ya Iringa road
Shamba la kumwagilia
Ukubwa:Acre 950
Bei milion 950
_________________________
15:Shamba kubwa linauzwa Morogoro Mvomero
Ukubwa Acre 15,000
Kilomita 45 tu kutoka Morogoro mjini kuelekea barabara ya Iringa
Acre moja shilingi 500,000/=
1:Shamba zimekatwa Acre 500
Kwa shilingi Milion 250
_________________________
16:Shamba kubwa linauzwa
Ukubwa Acre 1500
Loction Morogoro mjini
Umbali kilomita 10 tu
Shamba lina Title deed
Bei Usd 500,000
_________________________
17:Acre 3000 for sale
Loction mihono Bagamoyo pwani
Bei milion 450
Shamba linafaa kilimo cha mkonge kufunga kilimo cha nafaka na kilimo cha kumwagilia
Halina Title deed:
_________________________
18:Acre 4000 for sale
Location mihono
Shamba lina mto wa kumwagilia
Bei bilion 1.6
Hakuna Title deed:
_________________________
19: Loction:
Ruvuma Songea
Ukubwa _Acre 50,000
Shamba lina mto mkubwa shamba linafaa kilimo cha palachichi nafaka na kilimo cha kumwagilia:
Shamba lina Title deed
Bei 500,000 Kwa Acre 1
_________________________
20: Loction Mbwewe &Mkata Pwani
Ukubwa
1:Acre 1,000
2:Acre 2,000
Bei 200000 kwa Acre 1
Shamba kilimo cha mihogo mkonge kufuga kilimo cha nafaka ufuta na mahindi
Shamba Hati ni ofisi ya kijiji
_________________________
21:shamba linauzwa
Loction mkoa wa Tanga
Acre 5060
Shamba ni la kumwagilia
Shamba lina Title deed
Bei kwa acre moja 750,000